Recent content by njia_ya_msalaba

  1. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Manowari USS Abraham Lincoln Yajiweka Sawa Kuushambulia Utawala wa Kigaidi wa Ayatollah.

    sasa wewe hujui ata matumizi y wewe hujui ata matumizi ya hypersonic na supersonic, Kwenye misseile hatutumii hypersonic n sawa na useme sukari mita mbili. Pili hapa n game of first attack Itan akianza kushambulia ana 70% ya kuwin, tatzo ujasiri huo hawez upata maana us ikimuanza it will be...
  2. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Wapalestine 26 wameuawa na maelfu kujeruhiwa katika kituo cha usambazaji wa misaada Kusini mwa Gaza

    Dah hizi habari zinanfurahishaga sana kuna muda inatakiwa Taifa Teule iangushe ata nude pale Gaza hawa mbwa waishe
  3. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Feni za mapanga ni hatari kwa nini hatuchukui tahadhari?

    Waza feni za helicopter au ndege zikikatika
  4. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Ni Mfumo upi masbariki ya kati imetimiza malengo

    Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
  5. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Pengo la ukuaji wa uchumi kati ya Marekani na Urusi ni kubwa sana

    Wavaa kobazi akili hamnaga
  6. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Tuacheni utani, Gaza imechakazwa

    Mkiambiwa wavaa makobazi hawanaga akil mwelewee sasa ona hili bwabwa, yaan nchi imeisha imekuwa majivu unasema bado malengo hayajafikia..itawachukua miaka 200 kuijenga Palestina mpya
  7. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban yapiga marufuku Wanawake kutembelea Hifadhi ya Kitaifa

    ila kuwa mhislamu ni shida sana kiukweli n dini ya gizaa
  8. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Trump mbaya kwa Marekani mzuri kwa dunia

    TRUMP MBAYA KWA MAREKANI MZURI KWA DUNIA Ni Rais aliyeweka mbele maslai ya marekani, aliyepambana kuipandisha dola kwa nguvu zake zote na kuirudisha heshima ya Marekani iliyokuwa imepotea kwa miaka mingi, siyo tu kiuchumi bali kijeshi na na kuipa heshima duniani. Watu wote wanaojua siasa za...
  9. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Urusi imeonesha Afrika ndiyo msingi wa dunia kwa sasa

    RUSSIA IMEONESHA AFRICA NDIYO MSINGI WA DUNIA KWA SASA Mafahali wawili wanaposhindana wanyonge hupita salama ndugu zangu utaona Rais Putin kwa sasa ameikumbatia sana Africa kama moja ya msingi mkuu wa uchumi wa Russia hii ni kudhihirisha kuwa Africa ni dude kubwa lililolala lililotumi na...
  10. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Sikujua Urusi ni chaguo pekee la Mungu kwa karne hii

    kile usichojua USSR yote ilikuwa chini ya Othodox, hakuna tofauti kubwa ya waothodox na roman catholic , tofauti yao ipo katika viongozinwa kanisa kuoa au kutooa
  11. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa muhadhirika mkubwa wa magharibi, yaan nlkuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa magharibi hasa linapokuja suala la mzozo wa Ukraine na Russia. ila kwa furaha sana baada ya kufuatilia fact na...
  12. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Sikujua Urusi ni chaguo pekee la Mungu kwa karne hii

    Nasikitika kusema kuwa mimi nilikuwa mhathirika mkubwa wa Magharibi, yaain nilikuwa naweza kugombana na mtu au kutukana pale tu anapoigusa Marekani kiufupi nilikuwa shabiki kufa kufa wa Magharibi hasa linapokuja suala la mzozo wa Ukraine na Russia. Ila kwa furaha sana baada ya kufuatilia fact...
  13. njia_ya_msalaba

    JamiiForums Tanzania Putin ampoteza Meja Jenerali, auawa katika mapigano Ukraine

    warusi wa buza tunahujumiwaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Back
Top Bottom