Recent content by njenje-bls

  1. njenje-bls

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Ndiooooo......tushamchokaaaaaa.... Mmetuletea mwanasiasa gani huyu??? Afadhali ya mnyika japo mm ni ccm damu
  2. njenje-bls

    Makonda ndiye DC pekee anayeendana na kasi ya Magufuli

    Ujue kubenea misifa sana,lkn mwisho wake unakuja
  3. njenje-bls

    Tumlaumu nani kuhusu kina J.J Mwaka, Ndodi, wezi wengine?

    Hii kasi ya magufuli kumbe itasaidia kuvumbua wengieee....kama na ww ni mhusika basi subiri panga la Dr Kigwangala whose in professional aje kukuchunguza...
  4. njenje-bls

    CHADEMA kumshitaki Makonda kwa uvunjifu wa sheria

    Achen ulofa...nyie wana ukawa
  5. njenje-bls

    Majungu ya Kigwangalla kwa Dr. Mwaka sio jambo zuri

    Kigwangala ni Dr in profession sasa tuone wajanja wanaotulia hela km akina Dr mwaka hahahaaaa...kigwangala ibua mambo...ujue hapa tz eti kila MTU ni Dr..... Basi hata mm nitajiita Dr kwa kujua dawa ya tumboooo
  6. njenje-bls

    Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

    Kwanza MTU km kubenea amepata ubunge kwa 7bu ya ushabiki wa watu wa ubungo na kujihakikishia ushindi wa kiti cha Urais,that's why tunasena ukawa is a model to be a Nyumbu In tanzania.
  7. njenje-bls

    Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Hahahaaaaaa.....huyu no rais wetu,vp rais wenu mzee mamvi mpaka sasa kafanya mangapi!??? Mtachonga sana......
  8. njenje-bls

    Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Mtoa post anatokea ukawa,tena uache uchochezi mjomba magufuli spidi IPO zaidi ya 150
  9. njenje-bls

    Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

    Chadema wactafute misifa
  10. njenje-bls

    Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

    Chadema bd wana uchamachama jambo ambalo no ujinga,kwa sasa lazima tuwe kitu kimoja siasa zimekwisha sasa tusonge mbele
  11. njenje-bls

    Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Ukiona mtu analalamika kuhusu uteuzi huo ujue labda baba yake au kaka yake au Mjomba au ndg yake wa karibu kaachwa kuteuliwa...kwani lzn ndg yako???? Fikra mbovu
  12. njenje-bls

    Fisadi papa lapandishwa cheo cha Ukurugenzi Mwanza

    Ukawa bakini na ukawa yenu sisi tusonge mbele
  13. njenje-bls

    Dr. Slaa alitema big G kwa karanga za kuonjeshwa

    Dr Slaa ni mzalendo na msema kweli tena mwenye maono,ushabiki na uroho wa madaraka kwa akini mbowe na lisu sasa wameweka mikono yao mifukoni na aibu juu...walihubili sana ufisadi sasa wao ndo wameonekana mafisadi... Big up dr slaa.
  14. njenje-bls

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Ulitaka akupe ww uwaziri!!! Acha majungu ww!!! Ila ukawa akili zao mnazijua wenyewe!!!
Back
Top Bottom