Fisadi papa lapandishwa cheo cha Ukurugenzi Mwanza

Magufuli akiendekeza kuweka maslahi ya ccm mbele na maslahi ya taifa nyuma, hii nchi itamshinda mapema

Mkuu mzimu wa ccm hauwezi kumuwacha magufuri na tayari ameanza tunaona kina muhongo ndio hao wamesharudishwa sasa hapo usafi uko wapi, sikio la kufa halisikii dawa ccm imechoka
 
Hata Lowassa anafahamu kuwa CCM ni ile ile aliyotamka kuwa "Watanzania na ulimwengu mzima unafahamu kuwa CCM ni chama makini chenye kuleta maendeleo na kitaitawala Tanzania milele". Kwa hiyo Lowasa alijua toka mwanzo kuwa CHADEMA haiwezi kuishinda CCM.

Ccm ni ileile oooo ni ileile
 
Hata Lowassa anafahamu kuwa CCM ni ile ile aliyotamka kuwa "Watanzania na ulimwengu mzima unafahamu kuwa CCM ni chama makini chenye kuleta maendeleo na kitaitawala Tanzania milele". Kwa hiyo Lowasa alijua toka mwanzo kuwa CHADEMA haiwezi kuishinda CCM.

Chama cha kuwalinda majambazi?
 
Mnamsingizia Magufuli bure, hata wewe kama unataka ukurugenzi huko halmashauri peleka milioni kumi na tano kwa Jumanne Sagini katibu mkuu wa Tamisemi kesho yake unaupata

Hapo Magufuli hausiki ni watendaji wake na ujue karibu wakurugenzi wote ni wezi kwa vile wanaanza na kurudisha fedha walizonunua nafasi kwa Sagini

Tamisemi ipo chini ya Ofisi ya Magufuli, anahusika
 
Mkuu mzimu wa ccm hauwezi kumuwacha magufuri na tayari ameanza tunaona kina muhongo ndio hao wamesharudishwa sasa hapo usafi uko wapi, sikio la kufa halisikii dawa ccm imechoka
Magufuli angetekeleza maazimio ya bunge kuhusu Escrow lingekuwa jambo la maana kuliko kuachia yale mabilioni yapotee na wahusika kutowajibishwa
 
Mnamsingizia Magufuli bure, hata wewe kama unataka ukurugenzi huko halmashauri peleka milioni kumi na tano kwa Jumanne Sagini katibu mkuu wa Tamisemi kesho yake unaupata

Hapo Magufuli hausiki ni watendaji wake na ujue karibu wakurugenzi wote ni wezi kwa vile wanaanza na kurudisha fedha walizonunua nafasi kwa Sagini

Rais hahusiki na watendaji wake? Are you serious?
 
Mkuu uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri haufanywi na Rais. Hufanywa na watendaji wa serikali kwa niaba yake
 
Mahiny kweli amezihinya fedha za walipa kodi hapa kazi ya kuzitumbua tu hakuna namna nyingine.
 
chama cha wezi utegemee kitoe watu safi? hata jpm ni wale wale tu
 
Back
Top Bottom