Vijana wote wapuuzieni hao wapambe wa CCM.Hawajui kwamba slaa ndiye aliye kijenga chama hadi kimepata wabunge wengi.jamani wakiitisha maandamano msiende waacheni wenyewe
uislam ni dini safi inayotangaza amani upendo na ushirikiano ila nionavyo mimi kuna watu wachache wanatumika kuuchafua uislam kwa kigeyo baha kutafuta maslahi yao binafsi
Huu ndio wakati wakristo wote bila kujali madhehebu yetu tuungane kutetea imani yetu kumbukeni tulikubali kuwa askari hodari wa yesu kristo ambaye ni mungu aliye hai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.