Recent content by Njaare

  1. N

    JamiiForums Tanzania Dk Shoo na aliyekuwa Mpinzani wamenuniana tokea jana usiku

    K.K.K.T. au Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) ni kanisa linalojua linachokifanya. Halipelekwi pelekwi na Mrengo wa kisiasa wala halina njaa ya chakula. Linasimamia kweli ya neno la Mungu katika jina la Yesu Kristo aliye hai. Lina Dira na malengo yake. Kama unaijua Lugha soma hapa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Dk Shoo na aliyekuwa Mpinzani wamenuniana tokea jana usiku

    Duh! Usiyempenda Kaja!
  3. N

    JamiiForums Tanzania James Mbatia kumtuhumu Rais Magufuli kwa Ukanda: Anamlinganisha na nani?

    Naona umesahau hesabu za propotionality!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kustaafu kwa Kinana ni funzo kubwa kwa wanasiasa ndani na nje ya nchi

    Mh! Kastaafu kwa hiari au kwamba umri haumruhusu tena?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri, Naibu na Katibu Wizara ya Kilimo

    Kwa hiyo unataka kusema Rais alikuwa anaigiza eh!!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wapo salama? Mchungaji Fredy Njama, akamatwa kwa ‘Uchochezi wa Kisiasa’

    Na Mara nyingi matokeo ya kusema ukweli huwa hayafurahishi. Soma kisa hiki cha Yohana Mbatizaji kama ilivyoandika katika Injili ya Mathayo 14: 1-11 , "14 Wakati huo, mfalme Herode alisikia habari za Yesu; 2 akawaam bia watumishi wake, “Huyu ni Yohana Mbatizaji, amefufuka kutoka kwa wafu; ndio...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mil 10 kwa siku kuna harufu ya ufisadi na upigaji

    Kwani Tanzania ilitoa hela? Kalalamikie hela za Tanzania zinazolipwa kwa makampuni ya kufua umeme!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hivi suala la Bombadier ni siri? Hivi hamtaki tujue? Hamtaki tuhoji juu ya kodi zetu? Serikali lazima iulizwe

    Ni wajibu wa Serikali kutunza Siri zake. Je, Zitto au Lissu wana usiri gani na Serikali? Je, Ukiona siri za serikali zimefikia vyama vya upinzani ujie hilo jambo sii siri tena.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira: Tuendeleze mjadala wa Mikopo ya Elimu ya Juu na tuchukue hatua

    Huu mjadala bado unaendelea?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tumuamini Nani, Chadema Au Zitto Kabwe?

    Hamna hoja ila kuna composition inayoonyesha the real picture of the composer
  11. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ofisa wa udahili TCU, Fabian Mahundu anapotosha umma kwa maslahi ya nani?

    Ilitakiwa TCU itoe masharti ya udahili. Yenyewe ndiyo inasimamia ubora. Imeamua kukaa kimya ili udahili huu unaoanza kufanyika sasa ulete usumbufu ili warudishiwe.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ofisa wa udahili TCU, Fabian Mahundu anapotosha umma kwa maslahi ya nani?

    TCU ilifanya vizuri sana kuharmonise. Ilipunguza kwa kiasi kikubwa application fees ambayo ninaona sasa mwanafunzi atatumia mpaka laki 3 kufanya application. Hata hivyo TCU kama chombo cha usimamizi kinachofanya monitoring and Evaluation ya vyuo, haikutakiwa kufanya hii kazi. Maana kuna vyuo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Huyu ofisa wa udahili TCU, Fabian Mahundu anapotosha umma kwa maslahi ya nani?

    Kwa nini atafutiwe? Kama huyo mtu anatafutiwa chuo basi hatavuka mwaka wa kwanza. Anaonekana ni immature na mentally incapable. Unatafutiwa chuo? Rushwa zingine tunaziombea wenyewe.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    Mods Please hii post inakiuka maazimio ya jukwaa la wahariri.
Back
Top Bottom