Recent content by nizakale

  1. nizakale

    PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

    Laana ya JPM haiwezi kuwaacha salama. Lazima wavune walichopanda.
  2. nizakale

    Simba inaendeshwa kwa akili kubwa

    Ingekuwa Simba inaongozwa kwa akili kubwa mngefungwa mara nne mfululizo ?
  3. nizakale

    Mwanza wamebaki na milima yenye mawe, Dhahabu, Geita, Kwa jicho la ndani, Kufurahia kuzaliwa mkoa mpya Geita,ni maumivu kwa jiji la Mwanza!

    Geita inakuwa asikudanganye mtu. Ukweli ni kwamba kuondoka kwa Geita Mwanza ni pigo kubwa maana karibu nusu ya mkoa wa Geita ni madini tupu. Ukiacha madini Kuna kilimo Cha mazao mbalimbali k.m. mpunga nanasi n.k.
  4. nizakale

    PreGE2025 Musukuma amjia juu John Heche kwa kumsema Wasira ni mzee

    Msukuma siyo mbunge wa Geita Bali ni mbunge wa Geita Vijijini
  5. nizakale

    Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

    Kama wanavyofanya wakenya
  6. nizakale

    Kuhusu Dkt. Mpango, Tumepoteza Mzalendo ndani ya Mfumo (System)

    Kama wanavyofanya wakenya
  7. nizakale

    Hotuba binafsi ya Tundu Lissu mbele ya wanaombackup huko ulaya ni ya kinyonge sana na ina dalili zote za kukata tamaa

    Wenye akili tulijua mapema kwamba wachagga hawawezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa sababu ya ukabila. Ona sasa wachagga wote wako kwa mbowe. Hovyo kabisa.
  8. nizakale

    Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

    Unashangaa nini ? Mbona hata wapemba wanajisaidia baharini Siyo kweli kwenye biashara ya dhahabu hatuwaoni
  9. nizakale

    TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hunijui sikujui, aliyekudanganya kwamba Mimi ni kijana ni nani ?
Back
Top Bottom