Kama kuna mtu aliyefuatilia mchakato wa uchaguzi Jimbo la Segerea hasa takwimu zilizotolewa na Jaji Lubuva leo, naomba tusaidiane hapa! Jumla ya kura zilizopigwa na kusomwa na msimamizi wa uchaguzi za wabunge ni takribani 275k lakini kwa mujibu wa Jaji Lubuva kura zilizopigwa za uraisi ni 220k...
Kuna scholarship za Commonwealth kusoma UK masters kwa mwaka mmoja. Tembelea website ya wizara ya elimu. Hizi hazina usumbufu zaidi ya passport ya kusafiria na matokeo mazuri.
Asante kwa uamuzi wako wa kujitolea kufafanua kozi hizo.
Naomba unisaidie kwa maoni na uzoefu wako, kati ya environmental na geomatics, ipi iko bora kwa mazingira ya kazi hapa nchini?
Wakuu naomba kama kuna mwenye ufahamu kuhusu B.Sc.Mechanical Engineering anisaidie kuifahamu vizuri hii course kwa minajili ya inahusu nini kwa hasa(application in daily life), makertability na loan possibility hasa UDSM
Habari zenu wakuu..
Nimehitimu Advanced Level mwaka huu na nina jumla ya pass 10 kwenye PCM. Naomba kufahamu which one is the better course kati ya Civil Engineering na Petroleum Chemistry pale UDSM? Hii inahusisha loan possibiity na nafasi za ajira hapo baadae.. Asanteni..
I think Stephen Curry is backed up hy the likes of Thompson and Grern but just look at LeBron, then imagine if it were Steph Curry in the current CAVS team.. I bet noone would want a game 6 to decide..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.