Kwa wiki mbili sasa mitandaoni inazunguka barua inayoonyesha ni ya askofu Desiderius Rwoma wa jimbo katoliki la Bukoba. Barua hiyo inahusu padre aliyeandika barua ya kuacha upadre akaenda kusikojulikana.
Barua hiyo inaonyesha kwamba padre huyo ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Nkenge...
Mapingamizi ya Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata yameitikisa Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya aitwaye Godfrey Mheruka.
Kati ya wagombea 23, kuna wagombea udiwani 12 kutoka Chadema ambao wameenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi wa Kata.
Takwimu zinaonyesha kwamba...
Nimekuelewa. Lakini mapendekezo yote haya yametokana na maoni ya wananchi kupitia tume za Nyalali, Kisanga na Warioba.
Wananchi wamekwishapata fursa ya kusema wanachotaka. Mawazo yao yaliminywa tu. Yamefufuliwa. If so kuna haja ya consultation juu ya haya?
Hello,
Tayari nimefanyia kazi ushauri wako kama ifuatavyo:
1. Nimefomati rasimu ya muswada kwa kutumia mfano wa Mabadiliko ya 13 ya mwaka 2000
2. Rasimu ya Muswada wa Mabadiliko ya 15 nimeitundika HAPA.
Pitia halafu unipe feedback...
Wadau,
Nimepitia uzi wenye jina "Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania" na kupenda mjadala ule ambao mpaka sasa umeshirikisha watu 9000. Pia nimepitia mabandiko mengine yenye kujadili mada hii tangu mwaka 2015. Hivyo nimeshawishika kuandika rasimu ya mabadiliko ya katiba yanayojadiliwa. Nayaweka...
.
Observe the following rules of intellectual engagement:
1. Avoid argumentum adhominem
2. Avoid fallacy of association
3. Avoid genetic fallacy
4.....