Recent content by nitende

  1. N

    Ushauri wa haraka wakuu, nina mke wa mtu ndani

    Achana nae,kwa kuanzia mwambie mke wako anakuja halafu
  2. N

    Bwana harusi apokea mzigo wa bahasha wenye video ya mkewe akishiriki tendo la ndoa na mwanaume mwingine

    Hiyo imsaidie kufahamu kwamba kabla ya harusi maisha maisha yalikuwaje, kwa huyo mwenzie kama ambavyo yeye mwanaume anajifahamu alimopitia kabla ya harusi,baada ya ufahamu huo asimuache ila adhibiti isitokee hali hiyo.
  3. N

    Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

    Fikra kuwa utumwani ni pale kama hazifanyi yale yaliyokusudiwa kamwe dini haijawahi kuweka fikra utumwani
  4. N

    Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

    Soma yohana 5:25-29
  5. N

    Hivi na hawa hawaendi mbinguni?

    Ujio wa Yesu na kazi Ya msalaba inajibu swali hilo kwamba na wao wanafika mbinguni kwani roho ya yesu ilishuka kuzimu na huko ilifanya kazi tatu,mosi kuwahubilia walioko kule yaani waliokufa toka wa kwanza mpaka yule aliyekufa pamoja naye,pili kunyang'a mamlaka ya shetani ambaye alimiliki roho...
Back
Top Bottom