Habarini wanajukwaa....
Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo.
Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
Kama kuna mtu yupo tayari kuwekeza huko ila atahitaji kijana wa kusimamia na kufanya kazi huko anitafute Dm nikuunganishe nae.
Sent from my itel P551W using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.