Recent content by nitatoboa kweli

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    ukiweka huu upupu wako hapa nakutumia laki moja Sasa hivi. nakuongea Pumba na vitu ambavyo havipo ndio kumepelekea ukaachwa na Sasa nisingo mamá mwenye nyota tatú Yani ushakubuhu kwenye usingo mamá. nakushauri njoo inbox nikustri mana Mimi nimzoefu wakutunza misingo mamá isije kufa kwa stress...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    li limeachwa hilooooo.limeliwa likaachwa🤭🤭🤭
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    piga keleeeleeeeee weeweeeeeeee. pole sana singo mamá.
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    sawa Binti chawote kwakushea uzoefu wako
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

    a ACha umbea
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mgeni wenu

    Yap ila siunajua ndugu mjumbe sina baya🤭ngoja mgeni aje inbox tuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mgeni wenu

    karibu sana mamá.mimi ndio mwenyekiti wakutoa maua kwawageni. njoo inbox kwangu nikupe maua Yako. jisikie uko sehemu salama,🙂karibu right now
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyewahi kuona uzi wa Smart911

    itakua niwale mabloo madomo zege chakuongea hawana wanabaki kuguna tuu. mwanaume inabidi sometime unaongea hata mada ya uongo ili uonekane sio unakaa kama jinga.
  9. N

    JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    watapasuka sana.uturuki wameenda kuuza ngada tuu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    🤣🤣🤣🤣🤣badala walie kwa kutakacho wakuta mbele wao wanashangilia
  11. N

    JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    🤣🤭🤣🤭🤣hao niwajinga FC mkuu maneno mengi vitendo sifuri. nawashauri wasije kuingiza timu uwanjani jumaapili mana watazimia🤣🤣
  12. N

    JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    sombasomba hakuwepo🤭yanga bingwa Tena hajapata mshindani wakumsumbua kama Hali yenyewe ndio hii🤣
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia nyingine ni za ajabu sana

    katika kitu nakichukia nikuteseka.mbaya Sasa tokea utotoni Hadi Sasa naona bado tuu mateso hayaishi.
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia nyingine ni za ajabu sana

    hivi hapa duniani kunamtu alishikiwa kiboko azae? nyege zetu ndio zinatuponza.kwamimi hapa sitamani kupata mtoto nademu akishika mimba nahakikisha ameitoa sitaki kuja kuonekana kituko na damu yangu kilasiku namlaumu mzee na maza kwanini nimaskini kwanini walinizaa ila nyege ndio chanzo ila...
Back
Top Bottom