Nadhani wameelimika sana hao kuliko hao wengine,unajua suala la kumtolea mwanamke mahali ni ulimbukeni mkubwa ni kama vile unamuuza mwanamke kwa mwanaumwe nadhani wazo la mahali lingeondelewa kabisaaa
Hamna udom wameshaacha kuconfirm bila ridhaa ya mwanafunzi kama walivokua wanafanya awali,sasa ivi akaunti yangu inasoma kama mwanzoni tu kabla hawajaconfirm wao!
HATIMAE UDOM WAMESIKIA KILIO CHETU NA KAMA WALICONFIRM BILA YA RIDHAA YA MLENGWA,UKIINGIA TU KWENYE AKAUNTI YAKO YA UDOM WANAKUTAKA UCONFIRM UPYA,SASA NI FULL SHANGWE TU
Mkuu,naomba tafadhali utume screenshot ya akaunti yako ya udom baada ya kuunconfirm,nataka nione ujumbe gani wanauweka hapo,natanguliza shukurani zangu za dhati
Mkuu hata mimi wamenifanyia hivyohivyo alafu eti unconfirmation wanataka code,huu ni uhuni siwezi nikawapa code wale wapuuzi,nimeshaconfurm muhas kwa kutumia code huko udom watajua wao wenyewe na system yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.