Recent content by nitaluv

  1. N

    Kikundi cha kilimo

    Asante Sana kaka baraka...nitakutafuta!
  2. N

    Kikundi cha kilimo

    Nimekupata kaka mwananchi....nadhani turahisishe hili zoezi kwa kufanya hivi...wale ambao wako tayari kuhusu swala hili naombeni mtupie namba zenu hapa then mi ntacreate group watsapp and add you all ili tuanze mchakato rasmi Wa nini kinaanza nini kinafuata!pamoja guys
  3. N

    Makosa 10 wanayofanya wasichana kwenye mahusiano

    Hilo la kuona Kama wanawake ndo wana dhiki Sana ya ndoa ndo linaloniboa Mimi aisee....sijui kwanini wakaka wamekuwa wakituchukulia hivyo kwakweli!..INABOA kishenz yaan!inafikia mahali mwanaume kukuoa anaona Kama amekufanyia bonge la favor yaan...waiiiiiiiii
  4. N

    Kikundi cha kilimo

    Mimi Kama mimi bado sina shamba.....mashamba ni ya kukodisha na yanapatikana!kuhusu ukubwa Wa shamba ni juu yetu sisi kujua kwa kuanzia tuanze na shamba la ukubwa gani...tunaweza kuamua kuanza na ekal moja then tukaendelea kuexpand muda baada ya muda!
  5. N

    Kikundi cha kilimo

    Kaka sungura mjanja lengo la kutaka kuungana ni kutaka kuunganisha nguvu pia...mitaji ni tatizo kwa vijana wengi,lakin tukiamua kuungana tutaweza!zipo pia fursa za mikopo na ufadhili kwa vijana hasa kwa haya maswala ya kilimo,lakin kuzipata fedha hizo ni lazima tuonyeshe nia ya kweli na tuwe na...
  6. N

    Kikundi cha kilimo

    Are you in morogoro mkuu?!
  7. N

    Kikundi cha kilimo

    Mananasi mimi sijawah kulima....ila nimeuliza kwa wataalamu na nikaambiwa eka 1 inaingia hadi miche elfu 18 na mche mmoja ni sh 150-200!so kwa gharama hizo hiyo figure iko sahihi!
  8. N

    Kikundi cha kilimo

    Ninao mchakato Wa kitaalamu TGI...unaoelezea gharama na makisio ya mapato!ila hapa nimejitahid kuweka katika njia rahis then tutakapopatikana members then tunaweza kushare zaidi!!
  9. N

    Kikundi cha kilimo

    Daaah hongera Sana shuli...nikifikia kununua eneo kubwa hivyo basi tena!ntakuwa nimeanza kuishi ndoto zangu!with that big land u can do so much...nitafurahi Sana siku nikiweza kutoa ajira kwa vijana wenzangu,hasa wale wenye elimu ya kawaida...hatuhitaji masters kujua jembe lashikwaje!tutazidi...
  10. N

    Kikundi cha kilimo

    Yap hizo gharama ni kwa eka moja mkuu!
  11. N

    Kikundi cha kilimo

    Asante kaka!
  12. N

    Kikundi cha kilimo

    Poa poa haina noma!kuna wataalamu pia nawafahamu nafanya nao kazi so am sure this is going to work!watu tu wenye nia wapatikane!
  13. N

    Kikundi cha kilimo

    Dah tena ingekuwa poa Sana ungekuwa ni mmoja Wa wanachama..tungekuwa na uhakika Wa technical assistance bureeee kabisa!too bad...
  14. N

    Kikundi cha kilimo

    Kaka tutaongea vizuri hii mambo...am sure we will need a manager kusimamia activities za shamba!tukifika hiyo stage tutatafutana ndugu yangu!
  15. N

    Kikundi cha kilimo

    Poa kaka tutaongea vizuri badae kwa cm!ngoja tufanye majukumu ya watu kwanza mida hii!
Back
Top Bottom