Recent content by Nisian

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Yeah possible coz lengo la kumficha mtt ni kutaka atengeneze mazingira ya kuonekana badae kuwa yeye pekee ndo aliemtunza mtoto na ndoivo anakusudia kukifanya kwangu.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Asante kwa ushauri mkuu
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Shukrani mzee na nmekuelewa kwa huu ushauri wako
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Nmehusisha familia zte ila yake haijatoa ushirikiano, wanajua kabisa binti yao anachokifanya maana wao mtt anawatembelea ila siyo kunitembelea mimi. Kufanya hizo juhudi zote bila mafanikio ndo kumenifanya nitake kuchagua aidha kumwachia mtoto kabisa au kwenda ngazi za kisheria.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Asante kwa ushauri mzuri na nitaufanyia kazi mkuu.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Walishashirikishwa ila hawakusema chchote juu ya hilo la kuondoka na kuhsu mtoto pia. Inshort walitupilia mbali.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Mtoto nina uhakika ni wangu, kuanzia sura anavoonekana ni copy yangu pamoja na kurithi baadhi ya tabia. Ni matatizo ya wanawake tunaooa na kuzaa nao tu
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Ndiyo mkuu maana ni copy yangu kabisa hata ukimwona kwa picha. Shida ipo kwa mwanamke tu
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

    Habari za weekend wana JF Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza kubadilika sana baada ya yeye kupata biashara nzuri ukilinganisha na ile aliyokuwa anafanya mwanzo...
Back
Top Bottom