Aaah ngoja tusubiri binafsi namuomba saana Mungu isipigwe marufuku make tayari nshawekeza saana kwa hii biashara na wadogo zangu wanaendelea kusoma kwa hii biashara
Habari naomba ujumbe umfikie mheshimiwa... Mimi ni binti yatima sina baba kakangu ndo kanisomesha tangu form one mpaka chuo kikuu kwa hii biashara ya mtumba nmemaliza chuo nmekosa ajira nmeamua kujiingiza kwenye hii biashara ya mtumba..alafu Leo hii nasikia unaifungia.. MUNGU WANGU TUEPUSHE SISI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.