Recent content by Nirvana G7

  1. Nirvana G7

    Je, Tanzania Kuna Atheist Society? Kama Hakuna, Kwanini?"

    Kibaya ni kwamba sayansi pia sio ya kuiamini kwani kuna uongo mwingi pia wanaongopa ili wanufaike na kitu fulani hivyo wana confirm vitu fulani vipo wakati sio kikubwa ni kwamba wanajifanya wamegundua kitu na watu wanaamin bila kujiuliza na ndipo watu wengi hawana critical thinking na reasoning
  2. Nirvana G7

    Je, Tanzania Kuna Atheist Society? Kama Hakuna, Kwanini?"

    Kuamini ni suala binafsi ambapo kuwa atheist sio lazma muwe na society lakin ni ww kujua kuwa ww ni kila kitu na kila kitu ni ww na uishi kwa upendo sio kwa binadamu tu bali na kwa mimea na wanyama pia na mazingira yote yanayokuzunguka ambapo hayo yote ni ww mwenyewe ila umekua projected into...
  3. Nirvana G7

    Kwanini kuchukiana hata kuuana kugombea dini za Mungu wakati Mungu mwenyewe tunaaminishwa ana nguvu za ajabu?

    Acha waangamie kwa kukosa maarifa kwasababu kila mtu anadai dini yake ndio ya Mungu wa kweli na pia kumuambia mtu ukweli kuwa mungu wa hizo dini zote hayupo anaona unakufuru basi hapo ni kuwaacha waendelee kuunywa mvinyo wa dini zao mpaka siku watakapoamka na kuyaona madhaifu ya dini zao.
  4. Nirvana G7

    Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

    Sawa me sikulazimishi endelea kuamini ila asante kwa maelezo, ila hayajasaidia kitu .asante
  5. Nirvana G7

    Ni taifa la Israel tu raia wake 24 wako mbele kabisa katika utawala wa Mungu Mbinguni

    Madini ya chuma labda. Endelea kupumbazwa na mambo ya kufikirika
  6. Nirvana G7

    Science ina support uwepo wa Mungu

    Hivyo unamaanisha pia kuwa mungu anamakosa kwa sababu waandishi walitumia roho mtakatifu sio akili zao
  7. Nirvana G7

    Shetani, kwa nini haukuomba msamaha yaishe? Ulipewa nafasi ya kujirudi au basi tu na wewe ulikuwa mhanga wa Matrix? Au ni kiburi chako tu?

    Kwanza kabisa Mungu hawezi kumuua shetani kwa sababu roho iki exist haiwezi kufa milele kwa hiyo hakuna mwanzo wa dunia wala mwisho hivyo shetani alikuwepo yupo na atakuwepo na pia mungu na shetani sio viumbe ni energy na hizi energy zipo kwa ajili ya kubalance dunia kwa sababu vinategemeana na...
  8. Nirvana G7

    Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

    Kumbe ukiathirika utakuwa umesaliti wazazi na dini. Daa! Ko isingekuwa kuwasaliti hao ungekuwa sawa?
  9. Nirvana G7

    Hivi hii ni hali ya kawaida? Miaka 27 sasa nakojoa kitandani

    Hiyo inaonesha kuwa uko tied na roho yako yaani mwili wako na roho havitengani hasa wakati mwili wako uko unconscious ambapo inapelekea kile ufanyacho rohoni kufanya mwilini pia ndo maana unaota na kukifanya unachoota. Pia bila kusahau sababu zingine ni -kunywa maji mengi before bedtimes...
  10. Nirvana G7

    Natural death ni uzee na kuugua tu vifo vingine tumevitengeneza binadamu

    Kuhusu majanga ya asili, Mungu wala shetani hawahusiki ila ni shunguli za kibinadamu ndio sababu
  11. Nirvana G7

    Natural death ni uzee na kuugua tu vifo vingine tumevitengeneza binadamu

    Vifo vingekuwepo hata hivyo vyote visingekuwepo mana kuna uchawi unaotokana na wivu pia kuna kafara za watu,majanga ya asili ko hata iweje watu wangekufa tu pia fikiria kama maendeleo ya sayansi na teknolojia yasingekuwepo kungekuwa na ukeketaji pia wajawazito wangekuwa hatarini, pia wanyama wa...
  12. Nirvana G7

    Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

    Hata hivyo hiyo biblia yenu sio genuine pamoj na mungu wake
Back
Top Bottom