shule za mchepuo wa kingereza zipo pia za serikali je hizo pia hazina maana? Ni kwamba kila mtu atachagua shule gani ampeleke mwanae kutokana na kipato chake na siyo kudhihaki kwamba hazina maana katika kutoa elimu.Mzazi ndiyo mwenye jukumu la wapi anapenda wanae wasome ikiwa uwezo anao.
Ni wazi kwamba marekani hawawezi kuchagua mwanamke kama rais hata Hilary clinton mzungu halisi pia alishindwa kwa Trump.Ni kwamba wanachagua mtu ambaye atakuwa na maamuzi magumu hasa pale kunapotokea changamoto za vita na masirahi ya uchumi wa marekani.
Tatizo lilianzia kwa mama kuhitaji pesa zaidi kwa ajili ya matunzo ya mtoto,Hata sasa mtoto ni mkubwa bado anapenda mambo rahisi kama mama yake jambo jema nikumuacha apitie misukosuko ya maisha yake ndiyo atajua maisha ni nini.
Kama nchi inatengeneza siraha pia inategemea kuuza hizo siraha hiyo ni biashara,pia ni gharama kubwa katika kutengeneza vile wapi sehemu ya majaribio kwa maana nchi inaweza kukopeshwa siraha ili baadae alipe na pia huwapa mafunzo.Kwa mfano Iran anauza siraha katika makundi mbalimbali ya...
Iran imepeleka moto Israel majibu yake itakuwa ya viwango vya juu sana,kwa sasa kwa anakusanya taarifa mataifa yale yenye makundi mengine ili atakapoingia iran hataipiga pekee yake maana kuna ngome zipo nje ya Iran ambazo ni zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.