Recent content by Ninux

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu (?) Ya Dar

    Jaji hakujali barua ya bodi wala kiapo chake!e Asant
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu (?) Ya Dar

    Huku Zanzibar nilishindwa kwa sababu jaji hakujali kiapo chake kilicho halali kabisa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu (?) Ya Dar

    NInakushukuru kwa msaada wako. NItafuata ushauri mzuri wako.!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu (?) Ya Dar

    Tafadhali mnisaidie.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu (?) Ya Dar

    Hamjambo, samahani kwa urefu! Mzanzibari alinidanganya na sasa anajaribu kuniibia mali yangu! Kwa hiyo nilinunua kiwanja kule Unguja lakini wote, hasa Sheha wa Michamvi, Abeid J. Haji, waliniambia nitumie jina la mzanzibari, Suzan A. Mrope S. A. M.) Mwanzoni nilikuwa na wasiwasi kwa sababu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa hatua za kumshtaki mtu aliekutapeli mtandaoni

    Kwa bahati mbaya siwezi kukusaidia lakini ninataka kukuambia kwamba una bahati nzuri kwa sababu huishi Zanzibar ambapo SMZ wanasaidia sana matapeli!😡
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini DPP angoma kumsomea Mshtakiwa shtaka lake?

    Siwezi kufikiri kwamba polisi huko Zanzibar hawataki kufanya kazi. Askari DCI Mabakila anasinzia wakati nilipokuwa ninamweleza kesi yangu! Mimi ni mzungu, nilidanganywa na nimeibwa na mwanamke anayeitwa SAM ambaye sasa anajaribu kuniibia kiwanja changu. Mwanzoni aliniibia yuro 2000. Nilitoa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kwa nini DPP angoma kumsomea Mshtakiwa shtaka lake?

    Si kweli sheria ni "rushwa". Nitasimulizi alinifanyia nini Mkurugenzi wa DPP Ibrahim Mzee wa Zanzibar.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Mahakama

    Assalam aleikum. Inawezekana kuwasiliana na ofisi ya mwenyekiti au naibu yake wa Mahakama ya Ardhi huku Vuga (Mji Mkongwe, Unguja) kama haiwezekanj kwenda moja kwa moja pale?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Prof Euphrase Kezilahabi: Mwanazuoni anayehitajika kwenye ujenzi wa taifa hili

    Je ninaweza kukipata vipi?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, wageni wanaruhusiwa kutapeliwa huku Zanzibar?

    Inategemea na uwepo wa jaji kwa sababu hukumu imo katika kompjuta yake!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, wageni wanaruhusiwa kutapeliwa huku Zanzibar?

    Nilijaribu mwanasheria mbalimbali: walichukua pesa nyingi tu!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Je, wageni wanaruhusiwa kutapeliwa huku Zanzibar?

    Njia ipi?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je, wageni wanaruhusiwa kutapeliwa huku Zanzibar?

    Hamna mtu wa pili.
Back
Top Bottom