Tafuta mwanasheria akusaidie. kubali gharama ndogo ili kupata haki kama ni yako kweli.Assalam aleikum.
Inawezekana kuwasiliana na ofisi ya mwenyekiti au naibu yake wa Mahakama ya Ardhi huku Vuga (Mji Mkongwe, Unguja) kama haiwezekanj kwenda moja kwa moja pale?