Recent content by NINSIMA

  1. NINSIMA

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Afadhali wewe ulihamia king'amuzi cha DSTv. Mimi ndio kabisa sina continenal, Dig Tek au hiyo DSTv na uchumi ndio huu wa mtanzania je tutamudu kuanza kutafuta ving'amuzi vingine?
  2. NINSIMA

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Kama kweli unaipenda Tanzania na wananchi wake Ungeshauri vingine kwani tulio wengi tunahitaji ukombozi wa kweli. CCM wanachofanya kwa sasa nikutaka kupumbaza watu akili kwa kuzua mambo na kutisha wale ambao wanakikosoa.Hivyo tunataka mabadiliko CCM wakae kando na wengine waongoze wakishindwa...
  3. NINSIMA

    Kesi ya Lwakatare CHADEMA ombeni waangalizi wa kimataifa kufuatilia kesi hiyo live.

    Hata mimi nilimshangaa yaani mtu mmoja ndio mwenyeujua nyendo zote za Rwakatale. Inawezekana jamaa alihusika kwa namna moja au nyingine. Ipo siku kila kitu kitakuwa hadharani.Mungu ni mwaminifu.
  4. NINSIMA

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Mungu ni mwaminifu siku zote. Cha msingi ni kusubiri kwani mbivu na mbichi zitaonekana. ukweli utawekwa wazi kweupeee kila mtu ataelewa ni upande upi unasema ukweli na upi unasema uongo.Maana yote yanayofanyika Mungu anayaona na siku ipo atayafunua kila mtu atashangaa.
  5. NINSIMA

    Tuwekeni wazi Watanzania, mauaji ya raia na mifugo mkoa Kagera - serikali ipo likizo?

    Watu wa mkoa wa Kagera wanapitia kipindi kigumu sana.Matukio yaliyoonyeshwa na Kipindi cha ripoti maalumu ITV yanatisha na kusikitisha kwani watanzania wenzetu wanaishi maisha ya hofu kama wakimbizi. Naishauri serikali kuliangalia suala hili kwa jicho la tofauti na tupewe taarifa ya hatua...
  6. NINSIMA

    hali hii mpaka lini

    Ni kweli hayo yanawezekana ila tunatakiwa watanzania wote tuamke kupiga vita vitendo vyote vya kifisadi ikiwa ni pamoja na viongozi kufanya nchi yetu ni mali yao na familia zao. Na tusipofanya hivyo 2015 tutabaki vilevile. Magamba nao wanataka kuhakikisha wanarudi kwa mbinu yoyote. Umoja wa...
  7. NINSIMA

    Kwa hili la CDM jangwani kweli Dar ina wenyewe

    Haohao Hao unao waita wakuja ndio watakao ikomboa Dar kutoka mikononi mwa magamba na kwa kuanzia wameanza na majimbo ya Ubungo na Kawe.
Back
Top Bottom