Recent content by Ninoma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kesho ni derby ya Kariakoo, lakini TFF haijawatendea haki waislam

    Akili huna
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Ni hivi viatu vya kawaida, sio moka wala mabuti
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Asante mkuu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Sivaagi soksi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Ndio mkuu . lakini shida bado ipo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Miguu kutoa harufu

    Habari za midaa wakuu, ninashida ya miguu & viatu kutoa harufu baada ya kuvaa, hata nikivaa masaa 6 baada ya kuvua lazima vitoe harufu. Mwenye anajua tiba naomba maelezo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi wakuu

    Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi. Pia hatakama una kazi yako unaweza nisaidia kwa kunifundisha pia, yaani mpaka sasa sina fani yoyote. Nina hali ngumu balaa. Mie...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pikipiki yangu!!

    Pole na kazi wakuu!! Mafundi naomba munisaidie nipo kijijini huku Nina pikipiki aina ya TVS changamoto yake Ni kwamba inasumbua kuwaka. (Napiga kiki mpaka nachoka)(Ukisukuma inawaka) hata ikiwaka ikikaa hata masaa mawilo ina Anza Tena kusumbua kuwaka!! Yaani mpaka iwake Ni changamoto. Clatch...
Back
Top Bottom