Recent content by ninjaa

  1. N

    Usafiri wa Dar kwenda Mbeya unasumbua?

    Za asubuhi jamani, Ningependa kuuliza usafiri pale Ubungo kwenda Mbeya sio wa shida, maana nataka nisafiri Ijumaa. Kuna tetesi mabasi yanajaa sana kwenda huko ni kweli? Mwenye taarifa labda aliyeenda kukata tiketi hivi karibuni anijuze.
  2. N

    Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Na mm nichkie hiyo plzzz s3993.0160.2013
  3. N

    Waliokosa mkopo na waliopata watakiwa kuungana pamoja kudai haki yao

    Samahann jmn hv ni kwel km mtu amepata supplementary hapat mkopo
  4. N

    Taarifa hyo

  5. N

    Hivi kuna chuo wameshasain boom jmn

    Aanh nlijua vyuo km udsm ambao tyr wamefungua watakuwa wameshasain
  6. N

    Hivi kuna chuo wameshasain boom jmn

    Jmn hv kuna chuo ambacho wameshasain boom au ndo heslb bado inazngua co kwa wanaoanza ni kwa wale continuous naomb nijibiwe km yupo ana taarifa yyte
Back
Top Bottom