Jina langu ni NINGA WILDLIFE kwa kirefu zaidi sema NINGA WILDLIFE FOUNDATION.
Malengo yetu na mipango ni kuelimisha na kukumbushana kuhusiana WILDLIFE(FAUNA AND FLORA) HISTORIA kupitia mitandao ya kijamii.
Tunahitaji ushirikiano wenu.
Mimi ni sisi.
Unaweza kutupata ktk facebook ktk page ya...
SERIKALI YA TANZANIA IPO KATIKA MPANGO KABAMBE WA KUAJIRI WAFANYAKAZI 500 KWA LENGO LA KUPAMBANA NA UJANGILI.
HAYO YAMESEMWA NA RAISI JAKAYA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA MATAIFA 50 UNAOENDELEA NCHI UINGEREZA.
NI HATUA NZURI KWA SERIKALI YA TANZANIA NA NI NJIA INAYOONYESHA KUWA TANZANIA IPO KATIKA...
Wakati wengi wakitafakari na kupambanua nini kifanyike ili kutokomeza na kufutilia mbali biashara haramu ya ujangili unaotishia kutoweka kwa wanyama katika dunia.
Wakati wengine wakitafakari kupambana na ujangili,majangili watakuwa wanatafakari mbinu nyingine ya kupambana na wapinga ujangili...
Tumeona mijadala mikubwa ya upigaji marufuku biashara ya meno ya TEMBO ikiendelea duniani na kutoa tumaini fulani la kutokomeza biashara hiyo.
Pamoja na mijadala hiyo kuendelea na kuendeshwa na watu maarufu lakini bado tumaini kuu la kutokomeza biashara hiyo halionekani kutokana na kwamba siyo...
Kuna kila sababu ya mtanzania kusema "HAPANA" na kuamua kuchukua hatua madhubuti za kupambana ujangili (poaching) ambao ni tatizo kubwa ktk nchi yetu na ndani ya bara la Afrika.
Tanzania imejaliwa vitu vingi vya thamani kama wanyama pori wakiwamo Tembo na Faru ambao leo wapo ktk hatari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.