Recent content by Ninahela

  1. N

    Nataka nikasomee Health Records and Information Management

    Mkuu iko poa sana demand yake ni kubwa mno kwenye soko tatizo ni haijatangazwa vizuri kwa nchi yetu kwani mpka sasa vyuo vinavyotoa hiyo kozi ni viwili tu KCMC na chuo cha Tandabui Mwanza
  2. N

    Certificate na Diploma ya Afya

    mkuu jaribu pia na vyuo vya private wizarani siyo pa kutegemea sana mkuu njoo mwanza kuna chuo cha afya Tandabui pia wako vizuri link yao hiyo hapo tihest
  3. N

    Kwa wale wanaohitaji kujiunga na kozi za afya kwa ngazi ya cheti na diploma

    mkuu kozi za afya zinazotolewa hapo ni nne, Clinical medicine, Laboratory, Nursing na Health Records ada inatofautiana kulingana na kozi unayotaka kusoma nenda kwenye hiyo link hapo wameweka ada kwa kila kozi
  4. N

    Kwa wale wanaohitaji kujiunga na kozi za afya kwa ngazi ya cheti na diploma

    Chuo cha afya Tandabui Mwanza ni cha private lakini ada zake ni nafuu sana au tembelea hiyo link hapo www.tihest.org
  5. N

    Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

    hilo tamko kiufupi huyo waziri kazingua badala ya kuzungumzia solution ya mgogoro anaishia kumlaumu Dr Ulimboka hii ni bullshit tunawasiwasisi na taaluma yake yeye pamoja na viongozi wa wizara ya Afya
  6. N

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Dogo anazengua
Back
Top Bottom