Usifikirie kuwa ni kweli huyo demu wako alikuwa hataki dyu dyu
na wewe kama kweli hukutaka kabisa dyudyu katest vipimo vya mkojo maana nina uhakika tatizo lilianzia hapo
Yaani wakati tuko mbeya alikuwa demu wangu tukiwa la saba, ila mi nikafeli ye akaenda kidato
Sema bado nikawa nikipata chance napiga pampu kama ida. Mziki ni alipoenda advance ndio tukapoteana mazima
Sa mwaka jana mwishoni nakutana nae songea mi hali taght ila ye kaoga, sema hakujali mi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.