Recent content by nimekula hela ya kula

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Kama Kuna mtu anahitaji mimi napatikana Gongo la mboto, simu ni Infinix Smart 7, ila sitaki bei kama aliyosema mdau hapo juu kwa Napatikana Gongo la mboto kaka
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Nakuomba Kwa moyo mmoja mkuu kesho tukutane nikuuzie hii simu. Ni Infinix Smart 7. Naishi maneno ya Gongo la mboto
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Nipo Dar es salaam mkuu. Pia shughuli au biashara iwe ya dar es salaam siwezi kwenda mikoa ya mbali
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini, nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena. Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida. Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayo

    Itakuwaje sisi wa itel mkuu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kibarua cha kusogeza siku za maisha yangu yaliyobaki hapa duniani

    Uti wa mgongo ndiyo maisha mkuu, katika umri wa miaka 27 nimepata tatizo kubwa kama hili. Nadhani daktari au mtu mwenye hili tatizo pekee ndiyo anaweza kusimulia maumivu yake. Ingekuwa ni labda tuseme nimepata ukimwi ningeenda hospital nianze kutumia ARVs. Lakini hili tatizo mimi nimekuwa mtu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kibarua cha kusogeza siku za maisha yangu yaliyobaki hapa duniani

    Hakika mkuu umenielewa sana na asante kwa kufafanua vizuri zaidi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kibarua cha kusogeza siku za maisha yangu yaliyobaki hapa duniani

    Ningekuwa nimesoma ningeomba kazi ya taaluma yangu. Ninachohitaji ni kibarua cha kuniwezesha kuishi maisha yaliyobaki.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kibarua cha kusogeza siku za maisha yangu yaliyobaki hapa duniani

    Kazi au shughuli zote zinazohusu kubeba vitu vizito nimeambiwa nisizifanye tena. Kuhusu familia kama mke na watoto sina.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kibarua cha kusogeza siku za maisha yangu yaliyobaki hapa duniani

    Nina tatizo la spinal cord injury sasa sijui naliweka vipi kwa kiswahili.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kibarua cha kusogeza siku za maisha yangu yaliyobaki hapa duniani

    Hello JF family. Nakuja mbele zenu ndugu zangu mnisaidie kibarua chochote kile ili nipate kusogeza siku zangu za kuishi hapa duniani bila kuwa tegemezi wala kero kwa wengine. Sihitaji kazi ambayo itakuwa na mambo mengi, nahitaji kibarua cha kuniwezesha kumudu tu gharama za Chakula na sehemu...
Back
Top Bottom