Recent content by Nima_

  1. Nima_

    Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

    Akisafiri mnanuna, asiposafiri mnanuna, what’s wrong with you people 😄😄! October tunatick!
  2. Nima_

    PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Lema kiboko, line yake ilishindwa kupokea matone akaitisha press kuisema kampuni husika 😅😅
  3. Nima_

    PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wa Dar waongelee Dar, Wa Moshi waongelee Moshi nk
  4. Nima_

    Miradi ya ujenzi wa nyumba mitandaoni

    Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?
  5. Nima_

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Pascal unahitajika sana kujulikana kwa kizazi hiki. wakipatikana interviewers makini wasio na harakana walio very matured unaweza kutoa madini mengi sana kwa ajili ya generation hii. Myles Munroe once said graveyards zina utajiri mkubwa sana sababu ya people who passed with so much ideas...
  6. Nima_

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    natamani kujua hii report aisee, very important tujue umafia umekuwepo tangu kitambo nchi hii
  7. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Bill ilikuwla inalipwa na serikali obviously maana hata security guards walikuwa wanalipwa na serikali. Mi nimeona bunduki live for the first time kwa mlinzi wetu alikuwa anaitwa Yessaya nakumbuka. Tom amesoma na kaka yangu ambaye was two classes ahead of me. Mdogo wake mwenye kuvaa socks ndefu...
  8. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Frank alikuwa mchokozi na mkorofi hatari shuleni primary school Oysterbay.
  9. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Apson walihama maeneo ya jirani na shule pale? Namkumbuka mdogo wake Tom tulikuwa darasa moja na mama yao alikuwa mwalimu pale. Basi dogo alikuwa wa kishua na ushua uliopitiliza yaani alikuwa anavaa sock nyeupe ndefuuu hadi magotini na ni mvulana yaani duh[emoji23][emoji23][emoji23] Hivi...
  10. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Namkumbuka Mapi ila sina taarifa zake maskini, that’s sad
  11. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Oysterbay primary ulikuwa class of? Mimi 1984 nilikuwa class 4 nakumbuka ndio tumehamia shule mpya kutoka kwetu Machame[emoji23][emoji23] aisee bonge moja la transform miaka hiyo
  12. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Adelide alikuwa my age, Judy alikuwa mkubwa. Nyumba yao was opposite to tuliyokuwa tunaishi
  13. Nima_

    Vifo vya vijana hawa miaka 80 na early 90 huko ushuani, Oysterbay

    Masha alikuwa dadaake Makatta aliyefariki alikuwa mzuri balaa hata mama yao, rangi flani ya hela. Anna Mbagga dadaake Joms Mbagga na Terence Mbagga, very beautiful aisee. Kisa Kilindu mbona sio rika hilo lakini? But as well, pretty Kyusa girl na mdogo wake Anna Kilindu. Kulikuwa na hao kina...
Back
Top Bottom