W
Waziri alitembelea mashuleni akakuta walimu wa sayansi wanajitolea kwa muda mrefu tu, hivyo akayachukua majina yao na kufanya mchakato wa kuwaajiri, sasa wakipangiwa vituo kabisa kwa maana ya kutowaondoa katika vituo walivyokuwa wanajitolea kuna ubaya gani?!!!!
CCM wanahaha kwani dalili zote za kupoteza mamlaka zipo wazi, sasa wanakuja na maigizo ya pwagu na pwaguzi. mwaka huu ni kuwabana ki M4C mwanzo mwisho. na mapepo ya KISISIEMU yote ni kuyakemea kwa jina la people's power
UKAWA ina safari ndefu ya kuifikisha Tanzania, huu sio wakati wa kurudi nyuma watanzania wanatamani kuona mabadiliko yanayotokana na upinzani na sio kuona ni vpi upinzani unadhibitiwa na kuvurugwa. UKAWA tunatarajia makubwa kutoka kwenu.
Upitishaji wa sheria hizi mbovu mbovu ndio maana Nchi za wenzetu huwa kinanuka tu.
Waliokuwa wanaitikia ndioooo!! jana walikuwa wanaitikia tu kwani waliambiwa ndio kiitikio wanachopaswa kuitika, atakama inahitajika kupingwa, kwakuwa wamedanganywa kuwa sheria izi ni kwaajiri ya wapinzani...
ASKARI WA WANYAMA PORI katika wilaya ya Ulanga, hifadhi ya seluu kituo cha Mbuga kata ya Mbuga Tarafa ya mwaya wameanza utamaduni wa kuvamia kijiji cha Iputi na kutembeza kipigo kwa wananchi bila kuwapo na sababu za msingi.
Siku ya Tarehe 25/03/2015 Askari hao waliingia kijijini hapo muda wa...
Celina kombani ni miongoni mwa wabunge ambao walipita bila kupingwa majimboni mwao katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Wapo waliosema/dai kuwa anapendwa sana na wapigakura wake ndiomaana hajajitokeza mtu yeyote kumpinga katika uchaguzi huo, wengi wa hao wanaosema hivyo ni wale wanaotoka nje ya...
Kuto kuwapo kwa mfumo thabiti wa uongozi ndio tatizo, kwani wamekosa kuwa na mgawanyo wa majukumu,Ndio maana leo utamsikia yule kasema hivi mwengine anakuja kukanusha, kutokana na hayo wamekuwa hawana msemaji wa chama, aliyepo ni jina tu hakuna anachokifanya, ndio maana utakuta hadi wanachama wa...
Kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba mwenyekiti wa halimashauri ya wilaya ya ulanga ambaye ni diwan wa kata ya Mwaya tangu aende ktk vikao vya kamati ambavyo vimekwisha ijumaa hajarudi ktk kata yake hadi hivi sasa.
Habari kutoka kwa watu wa karibu na diwani huyo zinasema kuwa diwani...
Ili kuonesha ukomavu na sio kubahatisha ktk utendaji wa mambo, ilipaswa kuendesha operation bila kuwaathiri wasio husika, na kama hatujajipanga vizuri ni kheri kuacha hadi pale tutakapoona kuwa yafaa kutekeleza.
Kuna watu watatu wamefikishwa ktk hospitali ya tarafa ya mwaya, kwa matibabu zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.