Recent content by niko said

  1. niko said

    Kuhusu Kenya kupeleka jeshi Congo DR, nini lengo hasa la Kenya? Rwanda inaliangaliaje hili?

    Udogo wa inchi sio kipimo cha kupigwa na inchi kubwa. Israel ni inchi ndogo sana imewahi kupigana na inchi zaid ya 6 na ikazishinda.
  2. niko said

    Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

    je inaweza kuizid S-400 ya murusi?
  3. niko said

    Zimbabwe ilikuwa na vikwazo vya kiuchumi lakini ilikuwa na bilionea kama Ginimbi

    maisha yake yote yalikuwa ya anasa,Yatupasa tuishi kwa kumupendeza MUNGU na wana damu.
  4. niko said

    Papa Francis atetea watu wanaojihisisha na Mapenzi ya jinsia moja

    Hawa wapinga kristo wameanza kutoa makucha
  5. niko said

    Janga la Corona: Trump asema kuwe na chanjo au kusiwe na chanjo Marekani kufunguliwa

    Nilijua tu lockdown haita chukua hata zaidi ya miezi miwili kwa kuhofia uchumi Mulemule anako pita raisi wetu ndio mume ludi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. niko said

    WHO wanaposisitiza nchi zitoe takwimu badala ya dawa ya Corona nayo ni Siasa ya Dunia

    Mbaya zaidi hawa amini dawa zetu za africa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. niko said

    Bill Gates Highlited on why Africans should agree on COVID-19 Vaccine to be tested on them

    Mambo mengine tumejiendekeza wenyewe kuwafadhili watalamu wetu wa ndani hatuwezi badala yake siasa zinatuchukulia muda wakati vipa umbele ni watalam.Siku ya siku hatuwezi zalisha chanjo ya aina yoyote, Ni kweli kama huwezi kuimba cheza. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. niko said

    Rwanda yakana mpango wake wa siri wa kuigawa Congo DRC kwa kunyakua eneo la Mashariki

    Hulijui jeshi la burundi kaa kimya utachekwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. niko said

    Rwanda: Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi wengine wa juu kutopokea mishahara ya Aprili. Pesa zimeelekezwa kupambana na COVID-19

    Ongera p.kagame umezingatia maslahi ya walipa kodi ambao niwengi, kwakusitisha mishahara kwa wafanya kazi wote . Binafsi madoctor na manesi hao wape mishahala. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. niko said

    DRC imeingia makubaliano na Marekani pamoja na China ufanyikaji wa majaribio ya kinga ya Corona nchini mwao

    Na mashaka na congo kwa nini ikubali chanjo ifanyiwe majaribo kwake, wakati obama mwenyewe haja unga mkono chanjo kufanyiwa Africa nazani anajua mazara yake ni makubwa hapo badae. Africa siku tukiwa na sauti mmoja kila kitu kitakwenda sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. niko said

    Wagonjwa wa Corona nchini Rwanda wafikia 70

    Si furahii kwa mataifa ya africa kuendelea kupata huu ugonjwa, ntaliombea bara langu la Africa, lakini kwa hawa mabeberu walio ifikisha hapa africa wana vuna walicho panda. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. niko said

    Italy waanza kuchoma maiti maana mochwari zimejaa

    Hakika ili dunia iepukane na hili gonjwa lazima maitaifa ya magaribi na baba yao america waache mara moja kuinyonya Africa.waiondolee vikwazo zimbabwe, wa achane na kampeni ya ndoa ya jinsia moja na kubwa kabisa amri kumi za MUNGU zifatwe.Kwa hayo mkiyafata mtapona. Sent using Jamii Forums...
  13. niko said

    Tatizo katika mita ya maji

    mmmh! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom