Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,351
- 1,930
Ni muda sasa yapata takribani miaka 07 tangu nianze kutumia mita hii, mwaka 2019 nlibadilisha kampuni inayohusika na usambaji wa maji, binafsi si mtumiaji mkubwa wa maji.
Tatizo linakuja baada ya kuhamia kwa msambaji mwingine ndani ya wiki tu natumia uniti si chini ya tatu, ndani ya mwezi mmoja najikuta nimetumia uniti 13_17, kiwango ambacho si cha kawaida.
Kwangu minimum huwa natumia uniti moja tu wakati mwingine hupita miezi miwili nimetumia uniti hiyo hiyo moja.
Kwa mliopitia kadhia hii mliiepukaje maana gharama kwangu zinakuwa kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app