Recent content by NikitakaSinyimwi

  1. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Pumzika kwa Amani mpiga kura....
  2. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Mtatiro: Kaskazini wana Mkakati wa kwenda Ikulu

    Hii issue ya watu wa kaskazini kujitenga ilishawahi kuongelewa na mbunge wa ARUMERU.......Inawezekana kukawa kweli na ajenda hiyo......lakini WATANZANIA TUNAOMBA MUNGU ISIWE HIVYO.........
  3. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    Jamani si ni Masha huyu aliyekuwa anashutumiwa na makamanda kwa kupiga dili katika mchakato wa vitambulisho wa taifa...na matumizi mabaya ya ofisi....leo makamanda hao hao ndio wako front kumtetea....
  4. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Lowasa alichukuaje fomu ya uraisi wakati hajui shida za Watanzania?

    Shujaa wangu wa ukweli ambaye alikuwa na uhakika wa kura yangu UKAWA alikuwa ni DK SLAA tu ,huyu mwingine naona kama tumeuziwa mbuzi kwenye kiroba tu........
  5. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Wafuasi takribani 1,000 wa CHADEMA Arumeru wahamia ACT-Wazalendo

    Ni haki yao kikatiba kwa hiyo hakuna sababu ya kuwabeza wala kuwatukana.......ni kama alivyotumia haki hiyo LOWASA ndivyo na wao wanaitumia......
  6. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya wanawake kutamani ubunge itasalimisha ndoa?

    Asante wewe mwenye IQ inayovuja
  7. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Nahitaj kwenda zanzbar kwa mapumziko ya siku kadhaa

    No nilivaa uhusika ili uelewe somo....
  8. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Nahitaj kwenda zanzbar kwa mapumziko ya siku kadhaa

    Nilikuwa namaanisha kuwa...huenda labda katika matembezi yako ukakutana na sehemu yenye kuandikisha
  9. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    Huwezi kuwaona kwa kuwa bado wanamalizia matanga....si unajua kuwa lilikuwa ni pigo la kushtukiza...
  10. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sikuhitajika na Wakubwa!

    Mungu hana kusudi naye ndio maana kawatia nguvu kamati ya maadili kumuondoa mapema.... Kama bado unampenda mfanye kuwa raisi wa ukoo wako....
  11. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Huyo lazima atakuwa mjane wa bwana Ali
  12. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Dhamana inarudishwa?

    Kinarudi kama tiba haieleweki.....
  13. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Hii dhambi hata shetani na laana zake sijawahi kusikia kaitenda

    Kitu pekee kinachotufanya wanadamu tupotoke ni kwa kuwa tumejitoa kwenye mikono ya MUNGU.....Hatutambui tena neema za MUNGU na ndio maana tunaenenda kama wanyama mwituni....tumejiweka mbali na baraka za Mungu....
  14. NikitakaSinyimwi

    JamiiForums Tanzania Mbona CCM hawajibu tuhuma alizotoa mzee Kingunge?

    Kupitia huyu mzee ndio nimepata kujua nguvu ya pesa.... Kweli pesa ndio kila kitu....
Back
Top Bottom