Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
Mimi hapa naona pale kwenye panel wanachoangalia kama wewe una uwezo au moyo wa kufanya kazi watakudodosa sana kuhusu experience yako au kama hata umejiingiza kwenye program zinazohusu kada yako + kama hata unafanya internship mahali
Kingine wanaangalia kama unajua tu basic terms kwenye hiyo...
Natoa ushauri hapa kama una experience sana kwenye education background anzia pale ulipoanza kupata professional skills yaan kama kuanzia chuo hivi mpaka sehemu ambap upo sasa plus unapojielezea hakikisha una rely na vitu vinavyohusu kazi uliyoomba hata kama hutoweza ku include vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.