Recent content by Nidaataibani

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Hili hapana tena hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

    Fact
  3. N

    JamiiForums Tanzania Chadema Wamlilia Rais Samia Kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM Mwanza ndugu Reuben kuwa DED Masasi!

    RC Ni cheo Cha kisiasa kwa hiyo hakuna tatizo. Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi kisiasa, kijamii na kiuchumi kimkoa ni Mkuu wa mkoa hata hata kama Kuna mkiti wa CC mkoa mwenye power ni Mkuu wa mkoa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wizara ya Elimu: Nyadhifa zitolewe kwa kuzingatia Kiwango cha Elimu, kipaumbele kikiwa kwenye elimu ya juu zaidi

    Mara kiazi Mara Mkuu!. Wewe uliyeanzisha Uzi uchwara ndo mwathirika wa kadhia uloitaja!.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

    Vema
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

    Fahamu kuwa MADAS na MARAS ndo makatibu wa wilaya na mkoa. Mkuu wa wilaya na mkoa n cheo siasa chenye lengo la kusimamia maslahi ya chama tawala
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tumependekeza Katiba ya JMT ya 1977 ifanyiwe Marekebisho kuwezesha Uchaguzi Huru na wa Haki

    Kwa Tanzania hakuna mpinzani wa kweli bali maslahi tumbo. Dr. Wilbroad Slaa wkt wa late JPM alinunuliwa akakisaliti chama chake na kuunga juhudi upande wa pili. Muangalie Dr. Slaa wa leo anaekuja kwa jina la sauti ya WATANZANIA!. Unafiki na uzandiki mtupu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tumependekeza Katiba ya JMT ya 1977 ifanyiwe Marekebisho kuwezesha Uchaguzi Huru na wa Haki

    Kwa Africa vyama vingi Kama sio vyote vipo kwa ajili ya maslahi tumbo. Muangalie Kabwe Zito kwa sababu ya shibe aliyonayo Zanzibar Kama cku hizi anaongea chochote Cha kuikosoa Serikali.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA tumependekeza Katiba ya JMT ya 1977 ifanyiwe Marekebisho kuwezesha Uchaguzi Huru na wa Haki

    Ndyo kwa sababu bila hao wabunge hakuna bunge kwa hyo bunge ndo wabunge wenyewe. Linaweza kuitwa hata jiwe na maisha yakasonga mbele.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Vyeo vyote vyake
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge Ngara lafungwa kwa uvamizi

    Wakatubu na kuomba toba
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sio mzalendo kwao!

    Wachache wanaopitia shairi hili kuntu la Baba wa Taifa.
Back
Top Bottom