Mazingira yanaruhusu sema ndo hvyo nikila kidogo tu nakua nshashiba ani,nkitaka nile vizuri mchana basi asubuhi nabid nisinywe chai...nkinywa chai mchana nkija kula nakula kidogo
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
I guess hukuelewa,first selection unaweza kuapply vyuo zaidi ya kimoja!na ndicho nlichofanya! Nliapply vyuo vinne na napata kimoja ambacho hakikua my priority among those! That's why mmeuliza if it's possible kuapply Tena nkapata regardless ya kuchaguliwa hicho chuo kimoja tu!!!
Na sio issue za...
Hello, nlikua nahitaji msaada!
Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.