Recent content by Nicolaus Kimaro

  1. Nicolaus Kimaro

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

    Watu Kama nyie mna mchango mdogo sana kwa Taifa hili, Kama sifa hizi unazitoa kwa Huyu Je Hayati Benjamin William Mkapa atapewa sifa gani kwa aliyo litendea Taifa hili? Mwalimu Nyerere Je?
  2. Nicolaus Kimaro

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa kijana kujitolea maisha yake kwa ajili ya familia, au kuna njia nyingine bora za kusaidia bila kuhatarisha uhai?

    Jambo asilolijua Kijana mwenzangu ni kuwa wakati anapambana kuinua familia yake atazame nyuma ili aone ni nani mwingine anaye pambana kwa akiji ya familia yake? Kama hakuna basi atambue kuwa anafukuza upepo, Siku akishindwa kupambana wale alio wapambania hawataweza kumpambania. Jipambanie...
  3. Nicolaus Kimaro

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kufyatua matofali

    Elf Tano kutwa kula juu yake, hebu ajiri hata ndugu zako utakuwa umewasaidia,
Back
Top Bottom