Recent content by Nico1

  1. Nico1

    Hivi askari Mtanzania unampigaje risasi Mtanzania mwenzako anayetii amri zako ikiwa kulala kifudi fudi

    Umefurahi Umefurahi sana mkuu kila la kheri utaishi kuiona 2050
  2. Nico1

    Shabiby hata wewe huna lolote, you are taking advantage TU!

    Kwani kuisema serikali ni kujikweza na hao anaowasema kwani kawasingizia anyway ni watoto wa mama mmoja ngoja mparuane
  3. Nico1

    Shabiby hata wewe huna lolote, you are taking advantage TU!

    Kwani kuisema serikali ni kujikweza na hao anaowasema kwani kawasingizia anyway ni watoto wa mama mmoja ngoja mparuane
  4. Nico1

    Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

    Haya ni ya kweli kabisa lakini nafaham atakuja kubisha kama ilivyokuwa kawaida yake
  5. Nico1

    PreGE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

    Ccm wanakuchora tuu sasa kama umeweza kukojoa ulipokuwa unalala unadhani ugenini utaacha ; ccm kuweni makini sana na huyu mtu so mzuri kabisa
  6. Nico1

    Hawa ndio watu waliocha shule na baadae kuwa matajiri wakubwa duniani

    Niendelee kukusihi kama bado unasoma hebu acha mara moja nakuhakikishia baada ya siku chache utakuwa tajiri
  7. Nico1

    Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

    Wacha roho baya wewe.....
  8. Nico1

    PreGE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

    Wacha aongoze tuu mbona furesh , unadhani kuna shida viongozi wengi wa upinzani hata wakiacha siasa kiukweli wanaishi kuishi.....
  9. Nico1

    Balozi Mulamula akanusha kuwa na Jumba New York, adai ilikuwa mizengwe ya Kisiasa tu

    Adui wa ccm ni mwanaccm mwenyewe na ccm haitaangamia kwa upinzani itajiangamiza yenyewe muda ukifika
  10. Nico1

    PreGE2025 Sijui ni Kilimanjaro ipi Mbowe anadhani atapata Wabunge, nimepita Hai, Moshi, Mwanga na Same kote CCM ni Imara na Inapendwa mno!

    Siku tukiacha kuchagua chama badala ya kuchagua mtu ndiyo siku tutapona , haiwezekani lichaguliwe lizezeta kisa ni ccm au chadema ndiyo maana hatuendelei kisa uvyama ...upande wangu ukiwa smart sijali unatokea pande ipi utapewa ndiyo
  11. Nico1

    Kweli kama ahadi yako ya kufa haijafika huwezi kufa, risasi imeparaza sikio? Leo hii Trump angeshakuwa Marehemu

    Hii issue ukiifuatilia kupitia kwenye tv na redio utadhani ndivyo lilivyo lakini ukiingia deep inside kuna kitu secret service inakifaham wala siyo bahati mbaya
  12. Nico1

    Tuliambiwa Mama atasema Jambo Nyongeza ya Mishahara, Hadi Leo Bado Tu hilo Jambo Jamani!

    Bado hajasema tulia bado anakusanya maokoto soon atasema
  13. Nico1

    Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

    Pia na waliopewa madaraka wayatumie vizuri kwa wanaowaongoza mavyeo kujikusanyia mahela ya wizi viburi na majivuno ya vina mwisho wake .Wananchi ni watu wema sana ila wanaowaongoza baadhi busara imewapungukiwa.
  14. Nico1

    Aliyemshoot Trump ni Gen Z wa USA Thomas Methew Crooks miaka 20, nimeogopa sana 🐼

    Kwani Tz kuna Genz ,😁 huku kuna machawa Genz wapo kenya tuu.
Back
Top Bottom