Habari za wakati huu, napenda kufahamu mashirika ya kijamii ambayo mtu anaweza kujitolea huko yaliyopo jijini meanza na jinsi ninavyoweza kujiunga au kuyafikia huko.
Mfano: Mashirika yanayojihusisha na jinsia, watoto, maendeleo, n.k
Habari za wakati huu ndugu zangu, nina umri wa miaka 24 nimehitimu bachelor of arts with education (BAED) 2021 katika masomo ya Geography & Kiswahili, Napenda kuomba kwa yoyote anaeweza kunisaidia kupata kazi ya kufundisha ngazi yoyote ile nipo tayari. Niwatakie siku njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.