Naomba msaada ndugu zangu nipate kazi ya ualimu nipo Mwanza

nicnicholos

Member
Aug 27, 2021
15
12
Habari za wakati huu ndugu zangu, nina umri wa miaka 24 nimehitimu bachelor of arts with education (BAED) 2021 katika masomo ya Geography & Kiswahili, Napenda kuomba kwa yoyote anaeweza kunisaidia kupata kazi ya kufundisha ngazi yoyote ile nipo tayari. Niwatakie siku njema
 
Watu kama wewe tupo mtaaani mwaka wa 5 Sasa na tushatafuta kazi kama wewe mpaka tukaamua kuweka degree pembeni
 
Nakushauri tu angalia fursa zingine..hiyo itakuchelewesha mana ungejua population iliyo mtaani kwa kozi kama yako usingekuja kuomba kazi humu.

Ila nakuombea kila la kheri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habari za wakati huu ndugu zangu, nina umri wa miaka 24 nimehitimu bachelor of arts with education (BAED) 2021 katika masomo ya Geography & Kiswahili, Napenda kuomba kwa yoyote anaeweza kunisaidia kupata kazi ya kufundisha ngazi yoyote ile nipo tayari. Niwatakie siku njema
Jinsia yako
 
Kijana apply na upite shule mbalimbali never give up changamoto iliyopo ni kuwa Kanda ya ziwa inaajiri watu wengi toka Nchi jirani kwa ujira mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom