Recent content by Nicky nicky

  1. Nicky nicky

    UDOM: Invitation To Apply For Admission Into Undergraduate Degree Programmes For The Academic Year 2020/2021

    Ok! Nilikuwa na issue kama hii nilipo kuwa nafanya application ya dogo hapa home ila niliwasiliana na system administrator na tatizo likatatulika baada ya kumtumia index namba ya kidato cha nne na majina kamili.
  2. Nicky nicky

    Nini tofauti ya hizi kozi pale UDSM?

    Hata mi nasubili ufafanuzi hapa!
  3. Nicky nicky

    Ipi simu nzuri kati ya Xiaomi vs Tecno vs Infinix

    Xiaomi ni level nyingine.huwezi fananisha na hizo zingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nicky nicky

    Tuna design Logo (nembo) za company, NG’Os, Hotel, Tours & Safaris, Agriculture, vikundi

    Printing ya kufanana na hiyo unafanya baada ya kutengeneza logo?
  5. Nicky nicky

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tc L Tcl 49" nitaipata mkuu?
  6. Nicky nicky

    Flat Screen: Muongozo kabla hujaenda kununua TV

    Samahani chief-mkwawa. Naomba muongozo wa hii kitu,tcl led49s6500sf kama itanifaa kwa matumizi hasa kutazama soka.Ntashukulu sana kiongozi
  7. Nicky nicky

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Naitaji mbili za nammna hii.naomba punguzo lako
  8. Nicky nicky

    NAOMBENI USHAURI WA SIMU NZURI:BAJETI NI 400K

    Naunga mkono hoja! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nicky nicky

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    https://www.alibaba.com/product-detail/Original-Xiaomi-Redmi-Note-5-3GB_60784067436.html?spm=a2700.wholesale.maylikehoz.1.48541c8eLNa8Yo vipi hiyo kiongozi gharama zitakuwaje
  10. Nicky nicky

    Wakuu naombeni ushauri juu ya course ya Environmental Engineering

    Una uhakika na unachosema?Jalibu kuthibitisha hata kidogo tu.isije kuwa issue ya kupigia debe chuo fulani!!!
  11. Nicky nicky

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nipe gharama na namna ya kupata hii kitu Global Version Xiaomi Redmi Note 5 4GB 64GB 5.99" Full Screen Dual Camera Mobile Phone Snapdragon 636 Octa Core 4000mAh CE FCC-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
Back
Top Bottom