Tuna design Logo (nembo) za company, NG’Os, Hotel, Tours & Safaris, Agriculture, vikundi

Ramaa_Tech

Senior Member
Aug 30, 2017
153
62
BEI Tsh : 80,000/=

OFFER: -Free Letter head

Huduma zetu utazipata mahali popote ulipo iwe ndani au Nje ya Tanzania!

HIZI NI BAADHI YA KAZI TULIZOWAFANYIA WATEJA WETU WALIOPO MAENEO MBALI MBALI TANZANIA
Dii Super Nafaka-01.jpg

EMBRACE AFRICA-02.jpg

RUTTA INVESTIMENT_1-01.jpg

DRIVING-01.jpg

JOSEC SUPPLY_-01.jpg
JUICE RAIN-01.jpg

AL-KURSY LOGO-01.jpg
Dii Snacks-01.jpg
DOHA NEW LOGO-01.jpg
FLORENCE LOGO-01.jpg
kilibar-01.jpg
Nalantravel-01.jpg
NEXTGEN-03.jpg
SILVER PACK HOTEL-01.jpg

LOGO ADS-02.jpg

HUDUMA ZETU ZINGINE TUNAZOTOA
POSTER RAMAA TECH_.jpg
 
@Ramaa_TechDogo acha ulimbukeni,
Hivi unawezaje kudesign Logo kwa bei sawa na mifuko 8 ya cement?

We ni junior sana hapa, kuna mtu anaitwa logo rhythim anafanya hii kazi humu javini kwa zaidi ya miaka 5 ambapo pamoja na Logo anatoa letter head, Biz card, profoma, Invoice, Delivery Note, recceipt etc kwa TZS 30,000, We ni nani uje na bei ya 120,000? sawa na mifuko 8 ya cement...? Fyuuuu!!

So far hzo kitu unaweza fanya online na ukapata logo yako fresh & attractive kbs!!

Be strategical acha tamaa..., pata clients kwanza...mabei wont build u!!!
 
Twilumba,
Mkuu upo sawa kweli??? au unajua logo jinsi zinavyofanywa???? au una stress kaka na maisha??? unanipangia bei ww ni nani???

Hujui maana ya Biashara??? unaijua thamani ya logo??? hv unajua logo kuna watu wanazilipia zaidi ya million???? Bado unawaza mifuko ya cement??? Cha kukushauri bro heshimu proffesional za watu!! Dharau, kejeli hazitakusaidia! na nikutaarifu hiyo bei nakaribia kupandisha na kila siku napata wateja wapya kwa bei zaidi ya hiyo!

Hii bei ni offer tu kwa client wa JF ila ukija ofcn kwangu nacharge zaidi ya hiyo! Usiniletee nuks aisee! Wala usinipangie bei kwa kejeli na dharau coz hii kz sijaanza leo! hata huyo unayemzungumzia anacharge Logo Tsh 90,000/- tafuta post zake uone punguza kuropoka kaka! hili ni jukwaa la watu wenye akili timamu! Ahsante!
 
Dogo acha ulimbukeni,
Hivi unawezaje kudesign Logo kwa bei sawa na mifuko 8 ya cement?

We ni junior sana hapa, kuna mtu anaitwa logo rhythim anafanya hii kazi humu javini kwa zaidi ya miaka 5 ambapo pamoja na Logo anatoa letter head, Biz card, profoma, Invoice, Delivery Note, recceipt etc kwa TZS 30,000, We ni nani uje na bei ya 120,000? sawa na mifuko 8 ya cement...? Fyuuuu!!

So far hzo kitu unaweza fanya online na ukapata logo yako fresh & attractive kbs!!

Be strategical acha tamaa..., pata clients kwanza...mabei wont build u!!!
Bro unashangaa bei ya 120,000? Unajua logo ya TPB ilifanywa kwa bei gani? Unajua umuhimu wa logo? Anyway, kama huwezi kumudu tafuta watu wengine, wapo wanaofanya hata kwa 10,000. It's your choice
 
Back
Top Bottom