Recent content by nicksonmoses

  1. nicksonmoses

    Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Tafuta ndemwai pigia mswaki kutwa mara 2 kwa wiki nzima
  2. nicksonmoses

    Tiba ya ugonjwa wa Pumu ya ngozi

    Ni utomvu wa mti unaoitwa ndemwai nazani unapatikana manyara pekee.
  3. nicksonmoses

    Ndemwai utomvu wenye thamani kubwa ya dawa

    Unatibu pumu,bawasili,matatizo yote ya meno na fidhi pamoja na kinywa,ini,pararaizi,tezi dume,kuongeza cd4,magonjwa yote ya zinaa sugu na yasio sugu, kunyoosha kizazi kilichopinda,kuvuta kizazi kilicho mbali,mkanda wa jeshi,magonjwa ya masikio, magonjwa ya macho ikiwa na mtoto wa jicho, magonjwa...
  4. nicksonmoses

    Tiba ya ugonjwa wa Pumu ya ngozi

    Pole kwa mtoto, kama unaweza kupata ndemwai tumia hiyo kumpaka na kumpa kunywa asubuhi na jioni apate kuondokwa na hayo maradhi,maana inatibu pumu aina zote
  5. nicksonmoses

    Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

    Ulipata ndemwai ni kiboko ya matatizo yote ya ngozi na mengine mengi.
  6. nicksonmoses

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Dawa yake asili sehemu nyingi na inamaliza tatizo kwa 100% mualike mjomba wa huyo mtoto siku hiyo kwako kukaangwe kuku,samaki au nyama chakula anachopenda mjomba husika bila yeye kujua chochote chakula atachotengewa kifutiwe udenda wa huyo mtoto kisha kiwekwe tayari kumtengea mjomba ale bila...
  7. nicksonmoses

    INAUZWA Pikipiki TVS 150 inauzwa, ina mwaka mmoja tu

    TVS 150 AMEMALIZA MKATABA KIJANA ANATAKA KUIUZA YUPO DODOMA MJINI DOCUMENTS ZOTE ANAZO BEI 1,500,000/= Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
  8. nicksonmoses

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Pia misk nyeupe na nyekundu tumia kuoga mchana wa adhana ya saa saba fanya hivi walau ndani ya siku 7 Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
  9. nicksonmoses

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Uthithubutu kama huna elimu kamili na hujui ukubwa wa huyo kiumbe alie mwilini wakati mwingine husababisha hadi kifo kwa mtoaji au mtolewaji,dawa za hao zipo hasa hasa mafuta ya thwaumu ukitumia haya mara kwa mara kiumbe hakai ndani yako,mchanganyiko wa dawa za kuchuma kwa wale viumbe korofi...
  10. nicksonmoses

    Nimemhudumia kwa zaidi ya 900k Guest, lakini kanipiga tukio

    Zamani ilikua baba akitoka safari kama hakuwepo kwa siku nyingi akifika karibu na nyumbani hupumzika sehemu kisha humpa mtoto ataekatiza mizigo apeleke nyumbani kisha yeye atafuata baada ya muda hata nusu saa mbele. Ulitaka ukamsuprise bibie matokeo yake wewe ndie umekua suprised. Sent from my...
  11. nicksonmoses

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Mara nyingi naona huchaguliwa mtu aliekua anaelewana sana na marehemu na kumtamkia marehemu kwa kumsihi ili asisumbue msafara unaomsindikiza,au huwekwa jiwe dogo tu au udongo toka mkoa anaotaka kupelekwa kama kuna ndugu anatoka mkoa huo kuja msibani anaweza kuja na kimoja wapo ili kabla safari...
  12. nicksonmoses

    INAUZWA Bajaji inauzwa Dodoma mjini

    Kusafirisha bajaji kwenye lori zinazorudi dar na wewe ukiwemo haitazidi 80000 kwa uelewa wangu Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
  13. nicksonmoses

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Jaribuni kupunguza gharama za vifurushi maana havikamatiki katika mtandao wenu, ile kauli ya nyumbani kumenoga imekua haina maana tena mmetumia nguvu na gharama kuvuna wateja msishangae kuwa rahisi sisi wateja kurudu tulipotoka mboreshe gharama za vifurushi zishuke au muongeze ujazo wa vifurushi...
  14. nicksonmoses

    INAUZWA Bajaji inauzwa Dodoma mjini

    2 Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
  15. nicksonmoses

    INAUZWA Bajaji inauzwa Dodoma mjini

    RE Usajili namba C Imetunzwa Aliekua anaendesha ndie mmiliki Ina miaka 2 na nusu toka ainunue Anataka kubadili biashara Chombo hakina tatizo lolote Inapatikana dodoma mjini Anauza million 3 Mpigie simu#+255679546631 Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom