Recent content by Nicksoni Audax

  1. Nicksoni Audax

    JamiiForums Tanzania Hivi uki disco chuo ukaomba sehemu nyingine unaweza kupata na mkopo pia?

    Habari za mda huu wakuu Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
  2. Nicksoni Audax

    JamiiForums Tanzania Hivi PCM ukipata division two ya point 10 form six course gani inafaa hapo

    sema nimeelewa ushauri wenu asante
  3. Nicksoni Audax

    JamiiForums Tanzania Hivi PCM ukipata division two ya point 10 form six course gani inafaa hapo

    nisaidieni hapo wakuu nielewe PCM ambapo ufaulu ni CDC
  4. Nicksoni Audax

    JamiiForums Tanzania Makocha wenye uwezo lakini wana mkosi wa kuharibu timu

    Wapo makocha wenye mkosi mbaya na wakuchekesha kwa uwezo wanakuwa nao lakini sijui huwa wanakosea mara kwa mara huanza vizuri ila umaliza vibaya Mimi namtaja Jose Mourinho. Huyo kocha kati ya timu alizoziharibu ni Chelsea Man u Je mwingine ni nan?
  5. Nicksoni Audax

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuchaguliwa kwenda advance? nina division 2 ya point 19

    Hellow.. Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne nina divison 2 ya point 19 physics nimepata D chemistry B biology C math C Geography C Je. naweza kuchaguliwa kwenda advance kwa combination gani?
  6. Nicksoni Audax

    JamiiForums Tanzania Siku gani ulikuwa unaipenda kuliko zote ulipokuwa shuleni?

    Chagua siku ambazo ulikuwa unazipenda ulipokuwa shule 1. Mwalimu wa math ameenda kujifungua au anaumwa 2. Mmetembelea shule nyingine 3. Kuna wageni kutoka shule nyingine 4. Kuna mashindano ya UMISETA 5. Mwalimu wa physics na chemistry anaumwa
Back
Top Bottom