Recent content by Nicksixyo

  1. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika Ndugai Bungeni leo sio kauli ya kizalendo

    Nice
  2. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Diamond na Gari lake Jipya

    Yeah
  3. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Mwambie ahangaike na boriti kwenye jicholake kabla hajahangaika na kibanzi kwenye jicho la chadema
  4. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Mungu akurehemu rafiki yangu mpendwa... Wote tupo njia hoyo kaka Mohamedi Mtoi. Hatujui nani anafuata. Maisha haya ni mafupi, na wote tupo hapa ni mavuno ya Mungu wetu. Nazidi kumwomba Mungu aipe familia nguvu na ustahimilivu wakati huu mgumu wa majonzi.
  5. Nicksixyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Ujauzito wake....!!!?? Ulipokuwa na ule ujauzito wa yule mwanaume mwingine jeee... alikujali? Basi usibebe tena ujauzito wake! Beba wa mwingine
  6. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Siri ya Lowassa yavuja

    Kama imevuja panda juu ukazibe mrudi wazimu wewee? Mtatafutana mchawi msipate, tumieni hadi makamba au mfufueni Nyerere mtakuta kabadilika wala si mwana ccm.
  7. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Wape facts mkuu kwamba we don't give a shit kwa swala la asset na liability, hiyo kakaaeni na Slaa na upumbavu wenu swala mezani ni CCM kuwa chama cha upinzani that's all dudes!
  8. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hiyo sio shida mkuu swala ni ccm kutoka. Hatuna shida na Lowassa hata akianzisha chama chake akiwa ikulu Idiot youu
  9. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ufisadi-UKAWA wakwepa hoja hii ya Magufuli

    Simiyu yetu kwa ulichoandika utakuwa lazima UNAGIGIDWA ... Pole sana kwa mawazo finyuuu ptyuuuuu
  10. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaonekana kuongoza kwenye media..... tuthibitishe hili kwa kupiga kura

    Najua Malimao ni dawa ya watu kama wewe Bgwajima alishasema myatumie kupunguza maradhi mliyonayo. Utateseka sana moyoni usikiapo "Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ndugu Edward Ngoyai Lowassa".....
  11. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaonekana kuongoza kwenye media..... tuthibitishe hili kwa kupiga kura

    Ama kwa hakika hata wake kwa waume swala la penzini mioyoni ni Lowassa hata kwene ndoto za usiku ni Lowassa.!! Ukigombana na mwenzi wako anakwambia " Lowassa jamani nisamehee"" hata chai asubuhi unasema " nimiminie Lowassa"
  12. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Tunamtoa Magufuli na li ccm lake kwa kura sio kwa mtutu wa bunduki. Na atakaezuia kura zetu kwa kufanya chakachuo na kutumia nguvu ya dola the hague inamsubiri na wapo hapa nchini wanaangalia.
  13. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mimi hata Lowassa mwenyewe akisema hataki kura yangu na kunitukana nampa kwanguvu atapike kama inakichefuchefu kwake.!!
  14. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Akashighulikie ndoa yake kwanza aache kukaa na mchumba muda wote huu. Anahangaika na ccm wakati serikali hiyo ilimnyima kufunga ndoa na mke wa mtu. Ana shida nyingi sana huyu Slaa anahitaji councilor
  15. Nicksixyo

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna yeyote ya kumzuia LOWASA kuingia ikulu mda wa ukombozi ndio huu tujikaze tuvuke ng'ambo

    Lowassa for our feature. Matapishi na choo ni yeye mwenyewe aliyetaja. Anatokea mlango wa nyima anaingilia wa mbele serena Hotel...!!!
Back
Top Bottom