Binafsi naona ni vyema unapotafuta mwenza awe ambae mnakuwa kwenye dini moja ama dhehebu moja kwa wakristo. Muislamu aoe muislamu mwenzake, mkatoliki aoe mkatoliki mwenzake vivyo hivyo kwa lutheri na madhehebu mengine. Suala la imani katika familia unayotarajia kujenga ni suala sensitive sana...
Habari zenu wadau, binafsi mimi ni mwajiriwa katika auditing firm ila naona kuna plenty of opportunities za kutengeneza more money kwenye market.
Nimesikia sana kutoka kwa raia mbalimbali kuhusu jinsi gani biashara ya transport through UBER inavyolipa.
Nimeambiwa per day unaweza hata...
Ni kuomba Mungu tu! Utapata kazi mkuu...kama usipopata kazi ya kuajiriwa atakufungua akili upate kuanzisha kitega uchumi chako. Kikubwa usikate tamaa..mtegemee Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.