Recent content by nickbutt

  1. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Picha: Masheikh Dar wamuombea dua RC Makonda

    Hakuna masheikh hapo ni njaa mbele kwa mbele, wenye maono walishasema kuwa ipo siku wababe na wanyonge tutaongea lugha moja na imeshawadi sasa hadi siasa zimeingwa misikitini na makanisani hii yote ni njaa
  2. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achemka bungeni jioni leo

    hii nchi ni mgodi wa wajinga werevu wanatumaliza
  3. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete achemka bungeni jioni leo

    atakimbia mwenyewe
  4. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Majambazi yavamia duka la kubadilishia pesa Arusha, waua mtu aliyepiga kelele

    ukichanganya na panya road mbona tutakoma
  5. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Majambazi yavamia duka la kubadilishia pesa Arusha, waua mtu aliyepiga kelele

    poleni kwa majanga
  6. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Nani mmiriki wa Ngurudoto?

    vigogo wa sirikali na cyo serikali
  7. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Pesa zako unazoweka Benki

    dua tu haya yote yasitokee
  8. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Pesa zako unazoweka Benki

    Dua tu haya yasitokee, kwa sababu dunia ya leo patachimbika
  9. nickbutt

    JamiiForums Tanzania DSTV inafungwa kwa sh ngapi?

    Vina bei tofauti tofauti kuanzia laki na70, na vifurushi vyake vinaanzia elfu45
  10. nickbutt

    JamiiForums Tanzania Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Julitha Mmbowe
Back
Top Bottom