Recent content by Nick360

  1. N

    JamiiForums Tanzania Jamani anzeni kuhifadhi chakula ndani WW3 is coming

    Embu muulize anaongelea Libya ya mwaka gani?maana kama ya Muammar Gaddafi,asee inabid afanye home work yake vzuri
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

    Afu pia wengine hua na low libido yani na hua iko pote kwa wanawake na wanaume sometimes sasa jamaa angepata wanaendana pia kuna vyakula akimpa vitamsaidia kuongeza libido.
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti mliyeshibana sana?

    😂😂 mkuu umenikumbusha kikuyu na misuli usiku kule Lt 3 ,dah mda unakimbia sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    Mkuu au atafute tu ile short film ya dk 1 "maybe another time " aone ni dk 1 tu lakini unakua thrilled.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hahahhahah ,mkuu kama p Hahahhahah mkuu kama picha inakuja hiviii
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu Mkuu huyu Dada office yake n saloon?
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Do that ila 1 wik before uwe unampa sana mananasi na awe anakunywa maji mengi kuondoa ile harufu isiwe Kali design kuwe na kaharufu flani hivi kama nanasi.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini yeye ananipenda kidogo mno

    Be a man bwana,she's just not into to you so wewe hapo kama unaweza (moyo wakiume)mwambie tu kua "I've been feeling that your been distant since I told you what I feel ,so its better kila mtu atafute mtu mwingine serious" bro hapo lazima ashituke then aje na explanations ila na ikitokea ukarudi...
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

    Dah!pole sana mkuu sometimes ndo hvyo vitu vingine vzuri ila havidumu
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi date na wadada wa mataifa mengine tutoe ushuhuda

    Mkuu kma hutojali elezea kwanini yaliisha vibaya ,what went wrong?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, unaujua mtihani wa kiwango cha mwisho cha uvumilivu?

    Tuambie mkuu ulichukua hatua gani?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kama umejaza course 4 second round application

    Duah!sawaa
Back
Top Bottom