wakili anaweza kujitoa kwenye kesi anayomuwakilisha mteja wake endapo kutakua na sababu za msingi yeye kutokuendelea.
Mathalani wakili akigundua kuna "conflict of interest" katika hiyo kesi basi inampasa ajitoe ili haki itendeke. Ama ikitokea amekosa imani tena kwa mteja kwa mfano mteja kuwa...
it only requires to use common sense sio ushabiki tu. cha msingi sikiliza alichosema Gwajima na sikiliza alichoongea Pengo ndipo utoe maoni sio kukurupuka tu na kulopoka kama mwendawazimu. na kuhusu polisi kufanya hivyo ni wajibu wao kwakuwa ni kosa la jinai. watu wengne wanaleta hoja za ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.