Recent content by Nick Furry

  1. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

    Unaweza kumwelezea Mungu nje na vitabu vya dini?...au specifically nje ya biblia...bila ya hizo dini za kikoloni isingekuwa na Mungu...ninachoamini Mungu yupo ila sio huyu wa kwenye vitabu vya dini
  2. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wa Rhumba na zouk kwa wanawake na wanaume kuna wa kumfikia oliver Ngoma???

    Atakuwa hamjui...huyu jamaa alikuwa nyoko
  3. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04e

    Laki huchukui?
  4. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Boss mbona unatoka nje ya maada?..nani kasema pathology sio Pana...au aliyesema animal science anasoma yote hayo ni nani?... nimekwambia animal science anasoma basic clinical pathology kama ilivyo kwa VetMed au vet lab anavyosoma basic animal nutrition...mbona unacomplicate vitu boss Rafiki...
  5. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Naona unaleta hadithi nyingiii na unatoka kwenye maada...sijasema animal science anasoma pathology in details kama anavyosoma mtu wa VetMed...but Nina uhakika wanajua japo ABC za pathology coz tunao huku field...vivyo hivyo mtu wa VetMed hasomi animal nutrition au feeds processing in details...
  6. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    K Wahiyo unakubali kuwa wanajua ila hakuna vifaa?...
  7. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Nani anatengeneza au Kufanya research ya hiyo formula?
  8. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Mkuu sijajua ila inawezekana unaweka self interest...nilishare baadhi ya course work na watu wa Animal science na hata huku field tupo nao..hata ukifungua module ya coz yao kwenye prospectus ya SUA wanasoma kitu kunaitwa animal diseases and management (pathology) japo haipo in details na ndo...
  9. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Animal nutrition anayosoma mtu wa Animal Science sidhan kama ni sawa kwa details kama anayosoma mtu wa VetMed, agriculture general..animal health au biotechnology....hata animal science wanasoma physiology.. anatomy.. clinical pathology na hata entomology..lakini huwezi kuwalinganisha na VetMed...
  10. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Boss unazungumzia anima science ipi...kama ni hii ya SUA basi watakuwa wanafeli mahali. Yani graduate wa animal science ashindwe Kufanya proximate analysis ya chakula...ashindwe Kufanya formulation ya chakula...ashindwe Kufanya quality analysis..ashindwe Kufanya research za formula mbalimbali...
  11. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar

    Watanganyika tunaruhusiwa kuja Kununua?... Sheria ya ardhi Zanzibar inasemaje kuhusu umiliki wa ardhi?
  12. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Je utajiri hutafutwa au hukufuata wenyewe?

    1.Bidii..(juhudi zako, maarifa Yako, uendaji kazi wako) 2.Bahati..(Mungu alivyo kupangia) 3.Watu wanaokuzunguka (familia...marafiki..wafanya kazi wenzio..kiufupi connection) Hivi vitu vinatakiwa vibalance perfectly ndo pesa ikutembelee...unaweza ukawa na bahati but kama huna bidii na watu...
  13. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto kwenye mfumo mpya wa kuomba leseni ya biashara

    kaka umewasiliana nao kupitia namba Gani....kama unazo nipasie Nina shida nao
  14. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasema SUPER GRO

    1ml per 1L...na Haina bei kubwa kivileee...nadhan Lita Moja haizid 15k
  15. Nick Furry

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasema SUPER GRO

Back
Top Bottom