Recent content by Nichols Hawkins

  1. Nichols Hawkins

    Salamu kwa wanaoleft whatsap

    Nakubaliana nawe. Ni sawa na matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali.
  2. Nichols Hawkins

    Salamu kwa wanaoleft whatsap

    Hapo uko sahihi ktk matumizi ya "left"
  3. Nichols Hawkins

    Msaada: Naomba kwa anayejua namna ya kuunganisha android phone kwenye TV via HDMI

    Ili kutumia USB-HDMI cable Na TV, inafaa simu yako iwe na huo uwezo(compatible). Kwa mfano Samsung Galaxy S4 yaweza kutumika.
  4. Nichols Hawkins

    Salamu kwa wanaoleft whatsap

    Ila tukizingatia usahihi wa lugha, si sahihi kusema "kuleft". Left ni past tense (muda uliopita) ya neno "leave". Kwenye WhatsApp, mtu akiondoka kwenye group, iinaoneshwa kwamba, k.m John left- (John aliondoka) kuashiria muda uliopita.
  5. Nichols Hawkins

    Salamu kwa wanaoleft whatsap

    Kuleave ndio sahihi
Back
Top Bottom