Mkuu hii habari nimeipata pia hata TBC wameitangaza sana, Kwa kweli wapanue huduma na sehemu nyingine isiwe Arusha and mwanza only.Tutaachana kabisa kupanda mabasi kwa kuwa yanatumia muda mrefu wakati Fastjet just one Ho:majani7:ur!!! Kwa kweli hapa wachaga wa precision Air watakuja juu na...
Lakini mimi ningewashauri waendelee na kazi kwa ile train ya mwakyembe kwani huko wanaingiza pesa kila siku, ukifanya hesabu kuwa na mabehewa sita kwa trip na kwa hesabu yao kila behewa linabeba watu themanini hadi mia mara 500.ukipata hesabu hiyo zidisha mara sita. 100x500=50,000/= x6=300,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.